103

1 Naapa kwa Zama!
2 Hakika binaadamu bila ya shaka yumo katika khasara,
3 Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri.