106

1 Kwa walivyo zoea Maqureshi,
2 Kuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto.
3 Basi nawamuabudu Mola Mlezi wa Nyumba hii,
4 Ambaye anawalisha wasipate njaa, na anawalinda na khofu.