107

1 Je! Umemwona anaye kadhibisha Malipo?
2 Huyo ndiye anaye msukuma yatima,
3 Wala hahimizi kumlisha masikini.
4 Basi, ole wao wanao sali,
5 Ambao wanapuuza Sala zao;
6 Ambao wanajionyesha,
7 Nao huku wanazuia msaada.