111

1 Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia.
2 Hayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma.
3 Atauingia Moto wenye mwako.
4 Na mkewe, mchukuzi wa kuni,
5 Shingoni mwake iko kamba iliyo sokotwa.