112

1 Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
2 Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
3 Hakuzaa wala hakuzaliwa.
4 Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.