105

1 Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo watenda wale wenye tembo?
2 Kwani hakujaalia vitimbi vyao kuharibika?
3 Na akawapelekea ndege makundi kwa makundi,
4 Wakiwatupia mawe ya udongo wa Motoni,
5 Akawafanya kama majani yaliyo liwa!