108

1 Hakika tumekupa kheri nyingi.
2 Basi sali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi.
3 Hakika anaye kuchukia ndiye aliye mpungufu.