113

1 Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko,
2 Na shari ya alivyo viumba,
3 Na shari ya giza la usiku liingiapo,
4 Na shari ya wanao pulizia mafundoni,
5 Na shari ya hasidi anapo husudu.